Video:Alikiba The Rockstar Diary With R.Kelly

Enjoy Your Life
WATCH/ITAZAME 
 Alikiba ameanza kutimiza zile ahadi zilizotolewa katika mambo yake makubwa matano kwamba mojawapo ni hili la ROCKSTAR TELEVISION kuonyesha sehemu ya maisha yake ambapo leo wameanza na hii alivyoingia studio na mwimbaji staa wa Marekani R.Kelly. Matukio mbalimbali yaliyowahi kufanywa na yanayofanywa na Alikiba yatakua yakionekana kupitia ROCKSTAR TELEVISION kama inavyoonekana hapa chini...Subscribe to update the latest articles via email:

Add A Comment Below